iqna

IQNA

abu mahdi al muhandis
Muqawama
IQNA - Makamanda wa harakati za muqawama au mapambano ya Kiislamu Luteni Jenerali Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Muhandis walikuwa wapiganaji wakubwa waliopata ushindi dhidi ya ugaidi wa kimataifa.
Habari ID: 3478166    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/08

TEHRAN (IQNA)- Shahidi Abu Mahdi al Muhandis, marhum naibu kamanda wa Kikosi cha Kujitolea cha Wananchi wa Iraq, Al Hasdh al Shaabi katika kubainisha sifa za Shahidi Imad Mughniya alisema kuwa yungali hai katika medani za kivita.
Habari ID: 3474928    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/14

TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya wananchi wa Iraq wamekusanyika katika sehemu ilipotokea jinai ya kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qasem Soleimani karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Baghdad kwa mnasaba wa tarehe 3 Januari, na kumbukumbu ya mwaka wa pili wa tangu kutokea jinai hiyo.
Habari ID: 3474761    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/03

TEHRAN (IQNA) – Wanachama wa Jeshi la Kujitolea la Wananchi wa Iraq maarufu kama Al Hashd al Shaabi wameshiriki katika hafla ya kumuenzi shahdi Abu Mahdi al-Muhandis, naibu kamanda wa jeshi hilo aliyeuawa shahdi katika hujuma ya kigaidi ya jeshi la Marekani mwezi Januari.
Habari ID: 3472867    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/15